Toyota premio vs wish

mutu murefu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
996
Reaction score
2,636
Naombeni ushauri wenu kuhusiana na hizi gari tajwa.. Kuzingantia haya.

1. Durability
2. Comfortability
3. Heshima
4. Muonekano mzuri

 
Chukua Premio muonekano mzuri inadumu muda mrefu ipo comfortable.....
Wish imekaa kizee inachakaa upesi
 
Binafsi premio naikubali sana muonekano wake japo siifahamu vizuri hii gari.
 
kwa matumizi ya nyumbani chukua Premio
 
Hujabainisha unataka ukatumie kwa matumizi yapi..
ila kama ni kwa matumizi ya familia ningekushauri wish coz ina nafasi kibwa ina siti saba.
Itakupa heshima kwa familia..

Ila kama wewe ni kijana na unataka gari gari ya kwendea kazini, kuopolea watoto au wake za watu na mizunguko ya hapa na pale nadhani premio itakufaa.

Kuhusu spea gari zote mbli spea zipo ila zaidi premio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…