Wakuu hapa kuna gari inauzwa Toyota premio aina ya injini ni 7AT211 ya mwaka 1999.Inauzwa kuanzia 8.3ml ila maongezi yapo kwa mhitaji :email:kakakiiza@rocketmail.com au ni pm!kwa mawasiliano zaidi!
<br />hili kama changa la macho vile..milage ya gari ni kitu muhimu sana kufanya uamuzi wa either kununua au kutonunua gari..
hili bango limekaa mahali si pake! Wakuu, mbona kuna sehem maalum ya matangazo? Mnawapa kazi ya ziada hawa mods na hizo "premio" zenu.:mmph:
<br />
<br />
mkuu siku hizi odo meter hapa mjini wanachakachua hata ukitaka 0 wanakurekebishia kwa mtu wamagari hawezikuulizia odo meter japan wanakuonyesha kwakuwa unakuwa unanua online ukiwa hapa picha ndo hizo kama unataka kujiridhisha na ndani unapanga unakuja unaiona kila sehemu unyokuwa na wasiwasi!!siyo baadhi ya watu wanataka picha yandani,injine,matairi,betri hiyo yote nikutokuwa makini na swala biashara lakini kama unjua nini biashara uwezi uliza maswali yenye chenga!!
Mimi nakushukuru Pdidy naomba uwafunde wengi tunao humu hawajui mambo yamagari wengi wanapigwa akiona km hipo 30,000 anasema bado hii ilikuwa mpya haikutumika japan kumbe wamemchakachua na hawajui nini chakutizama kujua kam aimechakachuliwa!!wajanja huku kwenye thread za kukatisha tamaa!awajui japan kwenyewe tunachakachukuliwa sembuse hapa..kama unaliitaj tafuta ulione ukiridhika elewaneni ...kwa km m hata -10,000km/p nakuwekea na limekuja toka japan