Hua zinaanzia 12.5m na kuendelea, inategemeana na mwaka, pamoja na milleage.
Kuna rafiki yangu, yeye huwa kuna watu anatumia huduma yao, anachofanya analipia cif mwenyewe kule japan, jamaa anawapa risiti ya uthibitisho wa malipo.
Gari ikifika, wanamlipia ushuru, wanampa.
though wanakua na mikataba yao ya makubaliano.
Then anawarejeshea kwa awamu ile fedha ya ushuru.
Imemsaidia saana.