Toyota Ractis 2011 VS Toyota Corolla Runx 2003

MKIBAIGWAsharkss

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2017
Posts
572
Reaction score
1,331
Jamaangu anaomba ushauri achukue ipi kati ya hizo bei zina fanana zote hadi ushuru mil 17+

Ractis NCP120. Cc 1490
Runx NZE-121 cc 1490
 
Attachments

  • C3F9C4DA-B695-41AD-9F38-44D44898E1A8.png
    C3F9C4DA-B695-41AD-9F38-44D44898E1A8.png
    592.1 KB · Views: 9
  • 2C9DE334-1500-4644-BEAB-50A9740227A9.png
    2C9DE334-1500-4644-BEAB-50A9740227A9.png
    661.4 KB · Views: 12
  • D1119032-569E-4989-8CCE-3D18964D7FD6.jpeg
    D1119032-569E-4989-8CCE-3D18964D7FD6.jpeg
    76.7 KB · Views: 10
  • 8BD7FE06-C37A-4311-9BFF-CC6BA93EE7C6.jpeg
    8BD7FE06-C37A-4311-9BFF-CC6BA93EE7C6.jpeg
    89.5 KB · Views: 11
  • 4E9B4C70-F296-43F2-8767-2AA165FB1B52.jpeg
    4E9B4C70-F296-43F2-8767-2AA165FB1B52.jpeg
    107.5 KB · Views: 9
Jamaangu anaomba ushauri achukue ipi kati ya hizo bei zina fanana zote hadi ushuru mil 17+

Ractis NCP120. Cc 1490
Runx NZE-121 cc 1490
Ractis ni masalo hio haichelewi kutepeta. Kwa uzoefu wangu tu naona Toyota alikuwa amefikia Precision ya kuunda magari yake kuanzia matoleo ya 2003-2007. Gari ndogo ndogo za miaka hio nyingi ziko efficient na ni imara sana.

Newer models kuanzia 2008 nyingi zimekuwa ni masalo sana na very delicate kama hutazihudumia kwa usahihi hasa hizi budget cars jamii ya corolla na hao akina ractis na wengine wengine kama kina vitz.

Kwa uimara na build quality na reliability ningeshauri chukua runx body gumu na ndani haiko cheap looking ila kama ni mpenzi wa futuristic design chukua ractis efficiency wise pia ractis ikoo juu compared na runx sababu yenyewe inatumia CVT transmission na sio traditional automatic ya gear 4 kama hio runx.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri
 
Hizo gari wakati zinaingia mliita masalo hivyo hivyo mkifananisha na coral na limited na carina, refer kina gari ziliitwa kopo la castle lakini leo hii zile gari zinaoneka ni ngumu sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gari gani hizo mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gari gani hizo mkuu
Mark 2 balloon, mark 2 gr na refine, mark 2 gr ilikuja kuwa gari ya maana sana, hiyo baloon kuna mzee anayo songea ameifanya kama pickup ya kwenda shamba ilivyo na body ngumu,
 
Chukua runx ni gari nzuri pia ni powerful compared to ractis. Ina space yakutosha kwenye buti pia. ilakula mafuta kidogo. Nimeitumiaa ipo comfortable barabarani. Ni gari nzuri ya kiume na ni nzuri kwa long trip pia. Ractis waachiee Akina dada watumiee
 
Back
Top Bottom