MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Fungukasijui magari ila ractis
Ahsante
SUV anayoAcha kupoteza muda chukua hiyo Runx mzee..
Ila ungetulia kidogo upate SUV ule maisha ya namba E😃
Ractis ni masalo hio haichelewi kutepeta. Kwa uzoefu wangu tu naona Toyota alikuwa amefikia Precision ya kuunda magari yake kuanzia matoleo ya 2003-2007. Gari ndogo ndogo za miaka hio nyingi ziko efficient na ni imara sana.Jamaangu anaomba ushauri achukue ipi kati ya hizo bei zina fanana zote hadi ushuru mil 17+
Ractis NCP120. Cc 1490
Runx NZE-121 cc 1490
Ahsante kwa maelezo mazuriRactis ni masalo hio haichelewi kutepeta. Kwa uzoefu wangu tu naona Toyota alikuwa amefikia Precision ya kuunda magari yake kuanzia matoleo ya 2003-2007. Gari ndogo ndogo za miaka hio nyingi ziko efficient na ni imara sana.
Newer models kuanzia 2008 nyingi zimekuwa ni masalo sana na very delicate kama hutazihudumia kwa usahihi hasa hizi budget cars jamii ya corolla na hao akina ractis na wengine wengine kama kina vitz.
Kwa uimara na build quality na reliability ningeshauri chukua runx body gumu na ndani haiko cheap looking ila kama ni mpenzi wa futuristic design chukua ractis efficiency wise pia ractis ikoo juu compared na runx sababu yenyewe inatumia CVT transmission na sio traditional automatic ya gear 4 kama hio runx.
Karibu mkuuAhsante kwa maelezo mazuri
Hizo gari wakati zinaingia mliita masalo hivyo hivyo mkifananisha na coral na limited na carina, refer kina gari ziliitwa kopo la castle lakini leo hii zile gari zinaoneka ni ngumu sanaRactis ni masalo hio haichelewi kutepeta. Kwa uzoefu wangu tu naona Toyota alikuwa amefikia Precision ya kuunda magari yake kuanzia matoleo ya 2003-2007. Gari ndogo ndogo za miaka hio nyingi ziko efficient na ni imara sana.
Newer models kuanzia 2008 nyingi zimekuwa ni masalo sana na very delicate kama hutazihudumia kwa usahihi hasa hizi budget cars jamii ya corolla na hao akina ractis na wengine wengine kama kina vitz.
Kwa uimara na build quality na reliability ningeshauri chukua runx body gumu na ndani haiko cheap looking ila kama ni mpenzi wa futuristic design chukua ractis efficiency wise pia ractis ikoo juu compared na runx sababu yenyewe inatumia CVT transmission na sio traditional automatic ya gear 4 kama hio runx.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gari gani hizo mkuuHizo gari wakati zinaingia mliita masalo hivyo hivyo mkifananisha na coral na limited na carina, refer kina gari ziliitwa kopo la castle lakini leo hii zile gari zinaoneka ni ngumu sana
Mark 2 balloon, mark 2 gr na refine, mark 2 gr ilikuja kuwa gari ya maana sana, hiyo baloon kuna mzee anayo songea ameifanya kama pickup ya kwenda shamba ilivyo na body ngumu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Gari gani hizo mkuu
Kwa ukubwa ni kubwa sana ndani ila haiwezi kuwa subaruHiyo ractis kwa tecnology na ukubwa ni zaidi ya runx, version yake ni subaru trezia
Hiyo ractis inafafa na subaru trezia kila kitu isipokuwa injini, kwenye injini subaru kaweka boxer engineKwa ukubwa ni kubwa sana ndani ila haiwezi kuwa subaru
Ni sahihi kabisaHiyo ractis inafafa na subaru trezia kila kitu isipokuwa injini, kwenye injini subaru kaweka boxer engine