neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,849 Reaction score 2,132 Jun 16, 2016 #1 Salaam wapendwa. Tafadhali naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu.. JF Garage, ni gari ipi bora kwa mazingira ya hapa Tanzania hususan barabara kati ya ist na ractis. Jibu lako liwe na sababu. Natanguliza shukrani
Salaam wapendwa. Tafadhali naomba kujua kutoka kwa wenye uzoefu.. JF Garage, ni gari ipi bora kwa mazingira ya hapa Tanzania hususan barabara kati ya ist na ractis. Jibu lako liwe na sababu. Natanguliza shukrani
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,849 Reaction score 2,132 Jun 21, 2016 Thread starter #2 Watu wa magari mkuje basi jamani..
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 22, 2016 #3 Sina sababu ya kitaalamu. Kati ya hayo mawili ningechukua Ractis. Sio common sana halafu limekaa kichekibob zaidi.
Sina sababu ya kitaalamu. Kati ya hayo mawili ningechukua Ractis. Sio common sana halafu limekaa kichekibob zaidi.
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Jun 23, 2016 #4 ist ndio inakufaa mkuu kutokana na hoja yako. ya mazingira na barabara za tanzania. lkn kwa usasa ractise ni bora zaidi ya ist coz ni ya kisasa na technologia mpya zaidi ya iliyopo kwenye ist
ist ndio inakufaa mkuu kutokana na hoja yako. ya mazingira na barabara za tanzania. lkn kwa usasa ractise ni bora zaidi ya ist coz ni ya kisasa na technologia mpya zaidi ya iliyopo kwenye ist
G GeeM JF-Expert Member Joined Apr 11, 2014 Posts 1,897 Reaction score 1,327 Jun 23, 2016 #5 IST model gani?
B Baba yenu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,053 Reaction score 1,418 Jun 23, 2016 #6 Bavaria said: Sina sababu ya kitaalamu. Kati ya hayo mawili ningechukua Ractis. Sio common sana halafu limekaa kichekibob zaidi. Click to expand... Ractics ni gari nzuri kwa mwonekano tu wa sura nzuri ila gari chuma ni IST hata uitumie kwa barabara ya vumbi ni jiwe
Bavaria said: Sina sababu ya kitaalamu. Kati ya hayo mawili ningechukua Ractis. Sio common sana halafu limekaa kichekibob zaidi. Click to expand... Ractics ni gari nzuri kwa mwonekano tu wa sura nzuri ila gari chuma ni IST hata uitumie kwa barabara ya vumbi ni jiwe