Ina sura ya kijanjawill vs kana sura kama mdudu mende...
katika design zote alizowahi kufanya toyota katika gari zake will vs is the worst. Ina shepu kama kofia ya captain, kila nikiona najiskia kutema mate!Ina sura ya kijanja
Will VS zipo za 1490cc na 1794cc. Hiyo 1290cc labda ni Will VI. Will VS (1794cc) spares zake zinaingiliana na magari mengi tu ya Toyota, sijawahi pata changamoto yoyote ya spare. Engine yake ni 1ZZ-FE na kuna 2ZZ-FE, ya kwanza ni for fuel economy, ya pili ni for performance. Ya 1ZZ mafuta hasa kwenye foleni ni 8-10km/lita. Ila ukivunja taa huo ndio utakuwa mziki mnene, kuwa makini na mashimo hasa bumper la mbele.Wakuu Salaam !!
Ushauri wa kiufundi as far as upatikanaji wa spare unahusika kwa hayo magari tajwa hapo juu, kati ya Toyota Ractis, Toyota Vitz ama Toyota Will VS zote zenye Engine Capacity CC 1290. Nini matatizo yake 'common' if any kwa kila model? Msaada tutani
Toyota RACTIS wenzake ni Land cruiser VX V8 kwa mbio.Wakuu Salaam !!
Ushauri wa kiufundi as far as upatikanaji wa spare unahusika kwa hayo magari tajwa hapo juu, kati ya Toyota Ractis, Toyota Vitz ama Toyota Will VS zote zenye Engine Capacity CC 1290. Nini matatizo yake 'common' if any kwa kila model? Msaada tutani
Mahaba Niue. Ractis hats VG golf gt hatii mguu sio mkuuToyota RACTIS wenzake ni Land cruiser VX V8 kwa mbio.
Tofauti tu ni RACTIS inachomoka haraka, Inatumia mafuta kidogo, na inabalance na cc ndogo. Lakin kwa speed RACTIS n kiboko ya baby walker zote.
Ione hivyo hivyo tu
VG au VW? Kama ni VW acha kufananisha VW ma mambo ya kijinga.Mahaba Niue. Ractis hats VG golf gt hatii mguu sio mkuu
acha ujinga wwToyota RACTIS wenzake ni Land cruiser VX V8 kwa mbio.
Tofauti tu ni RACTIS inachomoka haraka, Inatumia mafuta kidogo, na inabalance na cc ndogo. Lakin kwa speed RACTIS n kiboko ya baby walker zote.
Ione hivyo hivyo tu
Usawa wa ractis na hizo nyingine ni kwenye engine tu,acha ujinga ww
ractis na probox ist premio spacio porte NI SAWA
Usawa wa ractis na hizo nyingine ni kwenye engine tu,
Gear box ya ractis ni kubwa kuliko hizo zingine zote,
Na performance yake ni kubwa kuliko hizo nyingine.