View attachment 1348554View attachment 1348555View attachment 1348556 njoo nikuuzie hii kwa 8m call 0652472486
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chukua gari hiyo acha maswali ya kishamba....
Ahsante mkuu kwa kunisogiza hatua mbele.
Kabla ya kununua ningependa kusikia abcs za ubora wa magari niliyoainisha hapo juu.
Baada ya kukusanya taarifa za wadau kuhusu kipengele cha ubora,uimara,affordability na mengineyo ndio nami nichanganye na za kwangu.
All in all yawezekana ukawa mdau muhimu kwangu sikuchache zijazo
Ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
mathabane,
Mkuu, nina uzoefu wa IST, Spacio, Runx/Allex. Nakushauri ununue Runx au Allex. Kwanza hakuna tofauti kati ya Allex na Runx. Ni majina tu lakini injini na body na options kwenye zote sawa.
Ni vizuri uchukue injini ya 1496cc kwa sababu ina nguvu kuliko 1290cc lakini pia unywaji wake wa mafuta ni mzuri. Injini ya 1496cc inakupa wastani wa kilometa 10 kwa lita ya petrol wakati 1290cc inakupa wastani wa kilometa 12 kwa lita. Ila cc1496 ina nguvu zaidi kuliko 1290cc.
Kama unataka gari ya kuifanyia biashara kama Uber au Taxify basi chukua IST ya 1290cc
Hehehee! Wewe jamaa unaukomavu wa "kidemokrasia" wa hali ya juu saana.Ahsante mkuu.
Bila washamba kama sisi thamani ya nyie wajanja haitokuwepo wala kuonekana.
Hata hivyo sijutii ushamba wangu
Sent using Jamii Forums mobile app