Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Sifa
1. Rangi ni gold
2. Namba za usajili ni T244 DPS
3. Ukubwa wa injini ni 1490cc
4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa
5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa
6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu
7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa
8. Haijafunguliwa popote tokea inunuliwe zaidi ya kufanya service tu
9. Tairi zote zilifungwa mpya baada ya kununua, ni za mwaka 2019 (mwaka wa kutengenezwa kiwandani)
10. Haina tatizo lolote mpaka sasa nikuwasha na kuendesha
11. Nyaraka zote za ununuzi zipo

Bei
Inauzwa kwa Tshs. 9.5 Mil

Sababu ya kuuza
Mhusika anaenda masomoni nje ya Nchi kwa kipindi Cha miaka 3

Mahali ilipo

Mabibo, ndani ya Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji

NB: Mawasiliano, waweza piga au wasiliana kupitia whatsap kwa namba 0765374146
IMG-20200510-WA0008.jpg
IMG-20200510-WA0008.jpgIMG-20200510-WA0007.jpgIMG-20200510-WA0008.jpgIMG-20200510-WA0007.jpgIMG-20200510-WA0006.jpgIMG-20200510-WA0005.jpg
 
Maelezo mazuri yamejitosheleza..

Ushauri tu.. punguza bei maana hiyo hela inatosha kuagiza gari kama hiyo japan..

Mwaka mmoja iliyotumika Tanzania ungepaswa ushushe bei kidogo.. angalau milioni 7 hivi.. utauza fasta sana
 
Maelezo mazuri yamejitosheleza..

Ushauri tu.. punguza bei maana hiyo hela inatosha kuagiza gari kama hiyo japan..

Mwaka mmoja iliyotumika Tanzania ungepaswa ushushe bei kidogo.. angalau milioni 7 hivi.. utauza fasta sana
Nashukuru kwa ushauri kiongozi, naamini kuhusu bei hatutashindana tutazungumza
 
Back
Top Bottom