Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unangapi boss Gari kali sana mkuu kama uko serious piga simu tuyajenge,hakuna udalali.Bosi 8M parefu
Kama Upo tiyari kuna 6M ndani ya hii week, Naamini gari haina tatizo wala madai yoyoteUnangapi boss Gari kali sana mkuu kama uko serious piga simu tuyajenge,hakuna udalali.
Hapana mkuu Gari liko vizuri ila 6ml sichuku mkuu.Kama Upo tiyari kuna 6M ndani ya hii week, Naamini gari haina tatizo wala madai yoyote
Bei inategemea na ubora Gari liko vizuri mkuu.Old Model kwa M8 parefu sana Chief. Tangaza biashara halisia ili uvutie wateja wengi.
Unangapi l?Bosi 8M parefu
Asante6.5 mkuu pesa iko mkononi.
Kiwanja kiko wapi na kina ukubwa Gani? Huenda value yake ilikuwa 2m madalali wakakupiga zaidi ya 3mTatizo la bongo ukitafuta kitu bei juu ukitaka kuuza bei chini nfano nilinunua kiwanja last year 5m badae nikabadili mawazo nikatumia njia zile zile nilizotumia kukipata hadi leo mwaka wateje wanafika 3.5m hata bei ya manunuzi imeshindikana,bongo ujanja unja mwingi sana.
Ichukue hii Raum bando mzima kabaisaTatizo la bongo ukitafuta kitu bei juu ukitaka kuuza bei chini nfano nilinunua kiwanja last year 5m badae nikabadili mawazo nikatumia njia zile zile nilizotumia kukipata hadi leo mwaka wateje wanafika 3.5m hata bei ya manunuzi imeshindikana,bongo ujanja unja mwingi sana.
Inatakiwa 8.5 mkuu6.5 mkuu pesa iko mkononi.
Ndo Hali la soko la bongo mkuu, milioni 8 ukiwa nayo cash kwa dsm hapo utaletewa magari mpaka utachoka, mtu akiwa na milioni 8 namshauri tu avute premio aiseeTatizo watu wanajipangia bei za kulenga ukijichanganya ukauza hizo bei zao 6.5 kesho ukimwambia nalittaka anakumbia bei hadi unajipiga kifuani unasema kweli mimi fala.