Tatizo la bongo ukitafuta kitu bei juu ukitaka kuuza bei chini nfano nilinunua kiwanja last year 5m badae nikabadili mawazo nikatumia njia zile zile nilizotumia kukipata hadi leo mwaka wateje wanafika 3.5m hata bei ya manunuzi imeshindikana,bongo ujanja unja mwingi sana.