N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Jun 23, 2017 #1 wakuu naomba kuuliza naweza kuagiza Toyota raum ya 2005 toka Japan mpaka kufika hapa bongo Na kuitoa bandarini kwa Tsh 12Mil.
wakuu naomba kuuliza naweza kuagiza Toyota raum ya 2005 toka Japan mpaka kufika hapa bongo Na kuitoa bandarini kwa Tsh 12Mil.
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Jun 23, 2017 #2 ngawia said: wakuu naomba kuuliza naweza kuagiza Toyota raum ya 2005 toka Japan mpaka kufika hapa bongo Na kuitoa bandarini kwa Tsh 12Mil. Click to expand... Habari Yes, kwangu inawezekana.
ngawia said: wakuu naomba kuuliza naweza kuagiza Toyota raum ya 2005 toka Japan mpaka kufika hapa bongo Na kuitoa bandarini kwa Tsh 12Mil. Click to expand... Habari Yes, kwangu inawezekana.
shangwe1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 448 Reaction score 362 Jun 23, 2017 #3 MAGARI7 said: Habari Yes, kwangu inawezekana. Click to expand... Mkuu na mimi nahitaji passo inagharimu hela ngapi??
MAGARI7 said: Habari Yes, kwangu inawezekana. Click to expand... Mkuu na mimi nahitaji passo inagharimu hela ngapi??
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 846 Jun 23, 2017 #4 shangwe1 said: Mkuu na mimi nahitaji passo inagharimu hela ngapi?? Click to expand... Nimekupm mkuu
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Jun 23, 2017 #5 shangwe1 said: Mkuu na mimi nahitaji passo inagharimu hela ngapi?? Click to expand... Kaka, Passo bei yake inakwenda kulingana na mwaka wa gari. By the way, kwanini usichukue vitz.?! Kwa ushauri wangu, vitz ni bora kushinda Passo.
shangwe1 said: Mkuu na mimi nahitaji passo inagharimu hela ngapi?? Click to expand... Kaka, Passo bei yake inakwenda kulingana na mwaka wa gari. By the way, kwanini usichukue vitz.?! Kwa ushauri wangu, vitz ni bora kushinda Passo.