Gari sio mbovu una uhakika gani ni mbovu kama sio mnunuaji uwege unapita tu sio kila kiti uchangieKununua gari iliyotumika Tanzania toka 2016 mwanzoni kwa tofauti ya 2mil ya kuagiza ni ufala.
Mara nyingi haya magari ni mabovu.
Watanzania tujiongeze tuwe twaagiza magari au ununue kwa bei ya chini ya 5mil.
Baki na ujinga wako