J Joseph Zito Member Joined May 13, 2011 Posts 15 Reaction score 1 May 7, 2014 #1 Jamani hii gari inanisumbua mbaya, inazima kwenye foleni, inatoa moshi mweusi, inakosa nguvu. Mafundi vimeo kila siku wananilia hela mara plugs mara kusafisha oxygen sensor mwenye ujuzi please
Jamani hii gari inanisumbua mbaya, inazima kwenye foleni, inatoa moshi mweusi, inakosa nguvu. Mafundi vimeo kila siku wananilia hela mara plugs mara kusafisha oxygen sensor mwenye ujuzi please