alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Halafu spea tairi utaweka wapi? Wamiliki wa van guard wanatafuta hiyo milango wapate pakuhifadhi spea tairi wee unauondoa?Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used
Ndani Kuna sehemu yake na ninataka niutoe bodi isichokeHalafu spea tairi utaweka wapi? Wamiliki wa van guard wanatafuta hiyo milango wapate pakuhifadhi spea tairi wee unauondoa?
Mbele ndani ya buti la injini na barafu za kupozea.Halafu spea tairi utaweka wapi? Wamiliki wa van guard wanatafuta hiyo milango wapate pakuhifadhi spea tairi wee unauondoa?
Size tofauti mkuuWakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango huo kwa used