lukellomallu
Member
- Mar 11, 2015
- 19
- 15
We jamaa umeanza vizuuuri ila umemaliza vibaya!TANDABUIMnakosea, and I think you have never owned any of these cars. RAV 4 ana models zaidi ya 4 na zote zinatofautiana kama mlima na bonde, so is Suzuki Vitara. Unapolinganisha haya magari lazima muwe specific, msilete hoja kama vile mmetoka chato leo.
Ah ah ah ah aMnakosea, and I think you have never owned any of these cars. RAV 4 ana models zaidi ya 4 na zote zinatofautiana kama mlima na bonde, so is Suzuki Vitara. Unapolinganisha haya magari lazima muwe specific, msilete hoja kama vile mmetoka chato leo.
Kwasababu hujaspecify mwaka... Ngoja nijibu generally.Hivi kati ya Rav4 na Vitara ipi ni gari nzuri in terms of performance, durability n.k
Thanks for critical analysis.Kwasababu hujaspecify mwaka... Ngoja nijibu generally.
Rav4 ipo comfortable sanaaa kuliko vitara hii ni kwa matoleo ya 1998-2008. Pamoja na yote kuwa na cc 2000, lakini Rav4 itakupeleka 2km zaidi kwa lita kuliko vitara. Running maintainance ya Rav4 ni cheap kuliko Vitara. But Vitara sio umiza kichwa, ni kwamba utatembelea maduka matano kupata spare kulinganisha na Toyota utatembelea mawili na utapata grade zote za spare.
Kama wewe ni mtu wa rough road au wa mikoani huko, chukua Rav4 first gen (3s) 1997-2000. Hii ina diff lock. Apparently Vitara zote zinazo 1998-2008. Vitara IPO kama 2 inches higher than Rav4, kwahiyo ground clearance ipo poa zaidi. Point yangu hapa ni; kama hujaipenda Rav4 old shape na wewe ni mtu wa off road, chukua Vitara. Ina 4wd ya kueleweka. Rav4 after the first generation naona mayai sana. Zimekaa kilami tu. Example kili time (2001-2005) hili naona off road yake ni kwenye madimbwi tu.[emoji3] nakuzingua, it can handle itself but zinaga imani nazo, nasikia engine yake majanga pia.
Conclusion:
Kama hela sio issue chukua Vitara mpya ya 2006-2009... Kama hela ndogo chukua old shape Rav4. Kwanza jiulize why Japan bei ya kili time na old shape Rav4 zinapishana dollar 100 au 200. Same conditions(mileage, body condi, etc). If I were you, ningebeba Vitara.
-callmeGhost
Mnakosea, and I think you have never owned any of these cars. RAV 4 ana models zaidi ya 4 na zote zinatofautiana kama mlima na bonde, so is Suzuki Vitara. Unapolinganisha haya magari lazima muwe specific, msilete hoja kama vile mmetoka chato leo.
Kwasababu hujaspecify mwaka... Ngoja nijibu generally.
Rav4 ipo comfortable sanaaa kuliko vitara hii ni kwa matoleo ya 1998-2008. Pamoja na yote kuwa na cc 2000, lakini Rav4 itakupeleka 2km zaidi kwa lita kuliko vitara. Running maintainance ya Rav4 ni cheap kuliko Vitara. But Vitara sio umiza kichwa, ni kwamba utatembelea maduka matano kupata spare kulinganisha na Toyota utatembelea mawili na utapata grade zote za spare.
Kama wewe ni mtu wa rough road au wa mikoani huko, chukua Rav4 first gen (3s) 1997-2000. Hii ina diff lock. Apparently Vitara zote zinazo 1998-2008. Vitara IPO kama 2 inches higher than Rav4, kwahiyo ground clearance ipo poa zaidi. Point yangu hapa ni; kama hujaipenda Rav4 old shape na wewe ni mtu wa off road, chukua Vitara. Ina 4wd ya kueleweka. Rav4 after the first generation naona mayai sana. Zimekaa kilami tu. Example kili time (2001-2005) hili naona off road yake ni kwenye madimbwi tu.[emoji3] nakuzingua, it can handle itself but zinaga imani nazo, nasikia engine yake majanga pia.
Conclusion:
Kama hela sio issue chukua Vitara mpya ya 2006-2009... Kama hela ndogo chukua old shape Rav4. Kwanza jiulize why Japan bei ya kili time na old shape Rav4 zinapishana dollar 100 au 200. Same conditions(mileage, body condi, etc). If I were you, ningebeba Vitara.
-callmeGhost
Strongly agree... Ila hiyo Rav4 ya 7A-FE mbona siijui. Nitoleo la ngapi? Fourth generation???Well said, Toyota spares utapata popote uendako na zipo fake kwa original!! Rav 4 the old models zenye 3s zinakunywa mafuta sana na zinatembea vizuri. I would prefer a Rav 4 with 7A-FE kuliko 3S-FE kwasababu ya fuel consumption na performance. Rav 4 zipo comfortable tangu generation ya kwanza while Suzuki kaleta comfortable version ya Vitara juzi tu. Kingine kizuri kuhusu Vitara I can say ni roho ya paka. Utaona Vitara body imechoka, engine inachemsha lakini haikai juu ya mawe! Same applies to Rav 4 ila sio kwa kiasi cha Vitara, I mean Vitara yoyote.
Thanx kwa mchanganuo wako pia. umesaidia sana.
Chato "WATU WASIOJULIKANA"
Nilitaka kuweka "like" lakini ulivyomalizia, nikasita! Anyway comment nzuri.Mnakosea, and I think you have never owned any of these cars. RAV 4 ana models zaidi ya 4 na zote zinatofautiana kama mlima na bonde, so is Suzuki Vitara. Unapolinganisha haya magari lazima muwe specific, msilete hoja kama vile mmetoka chato leo.
Strongly agree... Ila hiyo Rav4 ya 7A-FE mbona siijui. Nitoleo la ngapi? Fourth generation???
Hili gari zuri ila linaonekana mayai, maybe am being biased since bei imesimama. Hapa ni bora ninunue Prado [emoji12]. Nijuze ni generation ya ngapi.
-callmeGhost
I appreciatelabda tuanzie hapa
View attachment 586459
suzuki escudo usiongelee hapa maana rav4 zote zimeipita kwenye hatua mbali mbali
kuna kitu nataka niwaelimishe watu ambao wanaendesha magari 1997-2005 kuna vitu vingi sana mnakosa, magari mapya yanakuja na features nyingi sana na usalama juu. ECO Mode, DAC, lock differential na zaidi. nitafungua uzi siku mmoja
kwa ufupi faida za rav 4 model nyingi
vitara
- engine zenye ubora wa hali ya juu na aina nyingi ya engine
- nafasi kubwa ya kuweka mizigo
- ulaji mdogo wa mafuta ukilinganisha na vitara
- usalama wa hali ya juu ukilinganisha na vitara
ni nzuri sana off road
View attachment 586458
View attachment 586460
View attachment 586463
View attachment 586464
ushauri wa bure haya magari yanatofautiana sana, ila ni wewe mwenyewe unatakiwa uchague hakuna gari lililokamilika. Uamuzi ni wako. Natumia rav4 model 2009
pitia huku kupata maelezo zaidi
https://cars.usnews.com/cars-trucks/compare?trims=11257-321592_11275-322380_11280-316668
Suzuki Grand Vitara vs Toyota RAV4 - CarGurus
Toyota RAV4 SUV engines, top speed & performance | Carbuyer
Suzuki Vitara SUV