Habrini wakuu naombeni ushauri kuhusu ubora wa magari hayo niliyoyataj kwenye heading.kwa maana ya
Comfortability
Performance
Fuel consumption
Maintenance
Durability
Price
Nasubr ushauri wenu wakuu wenye tija.

Mkuu naomba nishauri tu,kwa mtazamo wangu hapo noah haistahili kuwepo maana Regius na Alphard ni levo tofauti kabisa na noah!Ni mtazamo wangu tu lkn kwa jinsi ninavyoziona hizo gari!Noah nimeshatumia ila Regius na Alphard bado!