Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Maongezi yapo mkuu.toyota corola rumion kagari katam sana.
wapenda muundo wa suv kwa cc ndogo hapa ndo penyewe.
ila bei yako sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo bei ya mwenye gari lakini kama unaihitaji seriously unaweza kuburgain naye na mkafikia muafaka.Kuna uzi wa IPILIMO humu wa Kimara anasema mpaka mkononi kwako anakupa gari hii kwa 12,500,000,wewe 16,000,000,duuuh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una ngapi mkuu..duu cc 1500 16M