Car4Sale Toyota Run X namba D kwa 8.5 mil.

Jamani nashukuruni sana kwa support mnayonipa wana jf.

Tatizo kuna members.baadhi wanakuja inbox wanaweka order za magari, nahangaika kuyatafuta mpaka yanapatikana.

Tatizo bidhaa ikishapatikana mtu anakimbia, biashara inakuwa na usumbufu jamani hebu tuwe serious
 
Kiongozi Mimi nawinda Ist iliyo kwenye Hali nzuri kuanzia namna C.Bajet 6M
 
Samahani nje ya mada..
Kurudia rangi full imekucost kiasi gani?

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Kurudia rangi full kwa gari ndogo ni around 350,000/=.
Mafundi wa Gerezani Kariakoo ndio waliniambia hivo nilivopeleka kupiga vanishing baada ya mtoto kuchora chora ubavu wa gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…