Car4Sale Toyota Runx inauzwa

Car4Sale Toyota Runx inauzwa

Loraa sum's

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
260
Reaction score
280
-Toyota runx version 2006
-colour silver
-mileage 114,329
-haina shida yoyote
-plate number DQR
-imetumika TZ mwaka mmoja
-bei ni milioni 10
-contact 0712518770

IMG-20200909-WA0004.jpg
IMG-20200909-WA0006.jpg
IMG-20200909-WA0008.jpg
IMG-20200909-WA0009.jpg
IMG-20200909-WA0003.jpg
IMG-20200909-WA0005.jpg
 
Ni bora kununua vitz mbili kwa milioni tano tano kuliko huu mkangaf kwa milioni kumi!
 
Sio poa hivyo, unaonaje ungebaki na hilo wazo moyon mwako!??
Niletee nyuzi zote za wanaouza magari nitie comments!
Gari yeyote ndogo ikishavuka mileage ya km 100,000 by Japanese standard huo ni mkweche.. Ndio maana wanayauza afu sisi tunayaona mapya!

Pia kwa standard za serikali ya Tz, gari zote za kutembelea zilizodi miaka kumi ni mikweche ndio maana zinalimwa penalty ya 25% as dumping fee!
 
Au sio, Wew gari unayotembelea ni aina gani na ulinunua ikiwa na milleage ngapi!??
 
Au sio, Wew gari unayotembelea ni aina gani na ulinunua ikiwa na milleage ngapi!??
Nilikuwa natembelea hii hii mikweche ila kwa sasa sina gari! Nimeuza yoote!
Magari ya biashara yalikuwa prone to accidents n mechanical breakdown. Ya kutembelea ukiwa nayo mengi, ndugu wanaomba uwaazime na kuyageuza ya kwao.. So I decided to sell..
 
Niletee nyuzi zote za wanaouza magari nitie comments!
Gari yeyote ndogo ikishavuka mileage ya km 100,000 by Japanese standard huo ni mkweche.. Ndio maana wanayauza afu sisi tunayaona mapya!
Pia kwa standard za serikali ya Tz, gari zote za kutembelea zilizodi miaka kumi ni mikweche ndio maana zinalimwa penalty ya 25% as dumping fee!
Sio kweli, ulishawahi kuimport gari ? au chagua gari kwenye mitandao then tembelea tra calculator na utofautishe miaka then rudi hapa utaniambia nin umegundua
 
Back
Top Bottom