Loraa sum's
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 260
- 280
Sio poa hivyo, unaonaje ungebaki na hilo wazo moyon mwako!??Ni bora kununua vitz mbili kwa milioni tano tano kuliko huu mkangaf kwa milioni kumi!
Niletee nyuzi zote za wanaouza magari nitie comments!Sio poa hivyo, unaonaje ungebaki na hilo wazo moyon mwako!??
Nilikuwa natembelea hii hii mikweche ila kwa sasa sina gari! Nimeuza yoote!Au sio, Wew gari unayotembelea ni aina gani na ulinunua ikiwa na milleage ngapi!??
Hongera upo vema,Nilikuwa natembelea hii hii mikweche ila kwa sasa sina gari! Nimeuza yoote!
Magari ya biashara yalikuwa prone to accidents n mechanical breakdown. Ya kutembelea ukiwa nayo mengi, ndugu wanaomba uwaazime na kuyageuza ya kwao.. So I decided to sell..
Sio kweli, ulishawahi kuimport gari ? au chagua gari kwenye mitandao then tembelea tra calculator na utofautishe miaka then rudi hapa utaniambia nin umegunduaNiletee nyuzi zote za wanaouza magari nitie comments!
Gari yeyote ndogo ikishavuka mileage ya km 100,000 by Japanese standard huo ni mkweche.. Ndio maana wanayauza afu sisi tunayaona mapya!
Pia kwa standard za serikali ya Tz, gari zote za kutembelea zilizodi miaka kumi ni mikweche ndio maana zinalimwa penalty ya 25% as dumping fee!