Toyota Rush

Toyota Rush

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Wana JF.
Naomba kuuliza mbona hii Gari aina ya Toyota Rush Ni ghali sana kuanzia ushuru wake na kununulia pale Japan?
Cc zake Ni 1300 na Ni Gari kadogo sana sana. Naomba mwenye kujua anielimishe please. Asante sana Wana great thinkers.
 
sababu za gari hii bei yake kuwa juu ni
1. hii gari inatumia mafuta kidogo sana so ni economy
2. ni Min SUV na pia most of them ni 4Wheel Drive hivyo ina faida kwa kuwa ipo juu na pia ina 4wheel drive kwa zile barabara mbaya. so automatically inafanya hili gari liwe na bei ya juu kuiko brevis au hata pengine baadh ya harrier.

Ukiicheki kwenye mtandao inavutia kweli.. Uione live sasa.. Yaani kama Rav4 ila mbele show wameibana.. Ni kama zile Daihatsu. .But anyway mwisho wa siku unatembea ukiwa umekaa kama nyingine
 
I think na miaka yake ya utengenezwaji ni ya hivi karibuni,kama sikosei ni 2006+...so ni gari ambayo unaikuta used but ni ya miaka ya hivi karibuni.
 
sababu za gari hii bei yake kuwa juu ni
1. hii gari inatumia mafuta kidogo sana so ni economy
2. ni Min SUV na pia most of them ni 4Wheel Drive hivyo ina faida kwa kuwa ipo juu na pia ina 4wheel drive kwa zile barabara mbaya. so automatically inafanya hili gari liwe na bei ya juu kuiko brevis au hata pengine baadh ya harrier.
Wanasema ukipata 4WD na transmission ni Manual (5gear +R) utaipenda zaidi.

Kwenye mafuta wanasema ndipo inashangaza hasa route ndefu. Mafuta yanaenda mpaka 24km/litre.
 
Simshauri mtu kuhusu hiyo gari.
Iko overrated kwenye bei, labda kwa sababu ni model ya miaka ya karibuni.
Kiufupi haina kipya chochote, na sio kweli kuwa kwenye mafuta iko economy.

Kwa mtanzania wa kawaida wa mjini, ni bora ukabakia kwenye IST na ukisogea basi hamia kwenye RV4 kuliko hiyo Toyota Rush.
 
Back
Top Bottom