Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Ok mkuu .mbona ulaji wake wa mafuta Ni kidogo sana ,Ni kabaya.. sikapendi
Hello Wana JF.
Naomba kuuliza mbona hii Gari aina ya Toyota Rush Ni ghali sana kuanzia ushuru wake na kununulia pale Japan?
Cc zake Ni 1300 na Ni Gari kadogo sana sana. Naomba mwenye kujua anielimishe please. Asante sana Wana great thinkers.
Fafanua mkuuGari mbaya kishenzi.
Gari hata haivutii chiefGari mbaya kishenzi.
Wanasema ukipata 4WD na transmission ni Manual (5gear +R) utaipenda zaidi.sababu za gari hii bei yake kuwa juu ni
1. hii gari inatumia mafuta kidogo sana so ni economy
2. ni Min SUV na pia most of them ni 4Wheel Drive hivyo ina faida kwa kuwa ipo juu na pia ina 4wheel drive kwa zile barabara mbaya. so automatically inafanya hili gari liwe na bei ya juu kuiko brevis au hata pengine baadh ya harrier.