Mshangazi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,143
- 4,462
Wakuu mara ya mwisho mwezi wa 8 tarehe 24. Nimebadili oil zote mbili pamoja na ile ya transmission. Pamoja na spark plug fundi alitaka ziwekwe mpya.
Then leo tena muda huu gari imeanza tena kutoa muungurumo mkali na imekuwa nzito. Mara ya 4 hii sasa kwa mwaka huu.
Nisaidieni wakuu kwa anayejua kuhusu hizo oil pump na kupiga kelele kwa gari hata kama nimekanyaga acceralator kidogo tu.
Nimewasiliana na Toyota wananambia mpaka jumatatu ndo wanakuwa open. Am tired!