Toyota spacio kutoka ina gharimu kiasi gani?

Toyota spacio kutoka ina gharimu kiasi gani?

Fisher_8

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
80
Reaction score
225
Husika na kichwa hapo juu.

Hii gari used kutoka japani hadi naingia nayo barabarani inaweza gharimu shingapi?
Hasa ikiwa 4wd
Kuanzia mwaka 2007 na kuendelea.

Nataka niandae mpunga kabisa.
r.jpeg
 
Kumbuka hizo spacio zipo zenye Cc 1490 na Cc 1790 mara nyingi viwango vya tozo za tra wanaangalia pia ukubwa cc

Lakini bei zake utapata milion 10-13
 
Back
Top Bottom