Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Natanguliza salam nyote humu,kuna hii gari starlet carat nimeiona mahali jamaa kai pimp utasema bmw ilivyokaa hapo mbele,nimevutiwa sana nayo,mwenye uzoefu nazo vipi zinakuaga na tatizo lolote, je ni gari nzuri? Na imara?