Toyota Starlet vs Duet ipi ipo vizuri?

Toyota Starlet vs Duet ipi ipo vizuri?

Joined
Feb 12, 2020
Posts
21
Reaction score
25
Habarini wataalamu,

Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wa bodi
2. Gharama za spare zake.
3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa mwezi - sio kila siku).
 

Attachments

  • 1604576322190.png
    1604576322190.png
    11.2 KB · Views: 38
Niliwahi kusoma humu kwamba Starlet iliacha kutengenezwa miaka ya 90 na successor wake ni Duet.

So ni kama umefananisha gari ambalo haliexist tena na gari liliokuja kukava nafasi yake.
 
Habarini wataalamu,
Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo.
1. Uimara wa bodi
2. Gharama za spare zake.
3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa mwezi - sio kila siku).
Starlet iko vzr kuliko hiyo takataka ingine,go 4 it
 
Back
Top Bottom