Toyota Succeed Cabin AC Air Filter

Toyota Succeed Cabin AC Air Filter

uhaale

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
303
Reaction score
153
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu, nina succeed juzi kati nikafanya service, nikataka kubadilisha AC AIR FILTER. Ajabu ni kwamba fundi ananiambia succeed hazina mfumo wa AC AIR FILTER. Mafundi nisaidieni hapo.
 
ni kweli toyota succeed hazina hio kitu ipo sealed kabisa pale kwenye slot yake inapotakiwa kukaa
 
Back
Top Bottom