jamani, nataka kumnunulia mdogo wangu gari ndogo TOYOTA SUCCEED, mafuta nimeona inatumia kidogo sana, naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu....kuhusu spare parts kwa hapa dsm, kwa vigari kama hivi zinapatikana kiurahisi na za bei ya chini kwa mjasiriamali? au?