Toyota SUV hits NASA demonstrators in Nairobi

Hio ndio Kenya tunayosema ni baba wa Demokrasia E/Africa hahah.

Usenge mtupu,unagongwa kwenye maandamano kisa Odinga wakati mwenyewe yuko kwake huko kwa matajiri KAREN anakunywa zake whisky.

Waandamanaji wapambane na hali yao.
 
Lesson: Kama si babako unapigania, nenda kazini ama ingia kwa nyumba usiwe mmoja wa wajinga waumiao juu ya mtu asiyekutambua.
 
When people decide to arm themselves and fight mtatii...endeleeni kusherehekea huu upuzi

Demonstration is people right whether you are doing it for someone or for yourselve....

Endeleeni kusheherekea hii upuzi mkisema ni wajaluo pekee wanaumia lakini mm sio mjaluo and we are many in numbers

Fyi Kenya police and KDF cannot handle cattle rustlers ...dont push people to arms mkidhania mtakaa kwa amani...

Either you accept that their are part of kenya and have every right to hold demonstrations as the want however long they want

Otherwise tutarudi level ya Somalia veryfast ...

Anyway one person was killed 4 injured ...and already 3 MPS yeah are celebrating this guy!!!.......

This is the reason i dont accept or support Jubilee in anyway....anytime anything doesnt go their way hata kuuwa chief justice itakuwa legalised and campaigned for!.....

YOU WILL FALL!!
IN THE NAME OF JESUS

DONT CARE IF RAILA IS ALIVE OR NOT BUT JUBILEE WILL FALL
AMEN!
 
Yo

You must be really dreaming.

Mnaandamana kwa lipi?? Kwani Supreme court iliwakuta na hatia kiongozi yeyote wa IEBC?? Au nyie siku hizi mnajua kutafsiri sheria kuliko Mahakama??

Hopeless kabisa. Subiri 26/10 ndiyo mtapoteana forever
 
Wape zao jombaa, hawa jamaa kazi yao kuturudisha nyuma tu. Sammuel999 grow up unatisha wakenya wenzako kwasababu jamaa zenu walikanyagwa na gari ambalo waandamanaji wenzao walikuwa wanataka kulipora? Unaongea kuhusu vita we burukenge 2007 hukupoteza baba, mama, ndugu zako wala hata mbwa wako, acha ufakdem!
 
Back
Top Bottom