Toyota town cruiser

Hiyo
 

Attachments

  • Screenshot_20230120_103323_Chrome.jpg
    93 KB · Views: 10
  • Screenshot_20230120_103402_Chrome.jpg
    142.9 KB · Views: 10
Habari wa ndugu. Naulizia yard ambayo naweza kupata gari aina ya Totota Town Cruiser. Najua Toyota wanazo ila wanauza mpya na bei zao siziwezi.

Nawasilisha
Andaa pocket tu hata used hutokuja kupata kwa bei ya chini sababu hii model imekuwa discontinued lkn wadau wanaipenda na ndo maana price yake itaendelea kushikilia mulemule, chukulia mfano Toyota FJ Cruiser bado bei zao zimesimama coz toyota ilisimamisha kutengeneza lkn bado zikawa zinapendwa, japo kuna tetesi wataendelea kutengeneza kwa US market

Af ukisema town cruiser wengi hawatakuelewa, sema Urban Cruiser
 
Kwahio hamjui kuwa Toyota Urban Cruiser ndio IST?
I hope you are joking..

Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.

Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
 
I hope you are joking..

Kwanza engine na body ya Urban Cruiser huwezi hata kdg linganisha na IST.

Engine wametoa kwa suzuki brezza pia body inaonekana durable. Ofcoz sijadrive hio gari lkn hata kwa kuangalia tu huwezi linganisha na hio UBER
Urban cruiser ni muendelezo wa IST second generation, Ila sema hii urban cruiser walichanganya IST na Vitz ndo ikatoka hiyo urban cruiser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…