NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Wakiniuliza bei nilisha sema waje in boxWatakuja japo najua hii siti ya mtu,watakuuiza sana bei
Hii gari haina dalali kaka. Mimi ndio mmiliki ila nikiweka bei ndio nikaribisha Madalali.Dalali kazini, hivi ukiweka bei hapa utazulika?
Ni Mara yako ya ngapi kuweka tangazo la mauzo ya gari humu??Hii gari haina dalali kaka. Mimi ndio mmiliki ila nikiweka bei ndio nikaribisha Madalali.
Ila mnunuaji halisi angekuja in box
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uoga,unadhani wote humu ni madalali?Hii gari haina dalali kaka. Mimi ndio mmiliki ila nikiweka bei ndio nikaribisha Madalali.
Ila mnunuaji halisi angekuja in box
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh ngapi sasa?Habari ba ndugu, Kwa mwenye interrest plz.
Njoo nikuuzie gari hii
Haina tatizo nambari D
Make:Toyota
Mdel: Hiace Van
Colour: White
Body Type: Van Body
INSUARANCE:23/03/2018
INAMATUMIZI YA NYUMBANI TU KWA MUDA WA MIEZI 8 SASA.
PLZ ,NJOO KAMA UMEIPENDA NJOO UKAGUE GARI. DSM
INTERESTED PIN ME PLEASE.