Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

Car4Sale Toyota Verossa inauzwa

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
221
Reaction score
100
Habari,

Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela.

Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu.

Kwa picha naomba njoo whatApp 0658644485

1618999782354..jpg
 
Onyo kwa wanunuzi wa magari..usinunue gari yoyote yenye usajiri wa C hadi DE usinunue zaidi ya 3m tofauti na hapo utakua umepigwa..samahani kwa wauzaji..ila ndio ukweli huo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yoyote?

prado diamond?
subaru forester
harrier
bmw
vw
kluger
crown?
hauwezi kuwa serios
 
Gari yoyote?

prado diamond?
subaru forester
harrier
bmw
vw
kluger
crown?
hauwezi kuwa serios
Hajui magari huyu, anaandika Tu vits yenyene number C iliyosimama ni 4,000,0000
 
Hasa babby Walkers..ila hata hizo zingine kuweni makini sana..ingine zimechoka..gereji utawajua majina hadi mafundi walioacha kazi miaka mingi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu anayenunua gari bila kukagua na kuielewa mkuuu, hivi unajua kuna gari number C ipo Bora kuliko number D au wewe huwa unanunua gari Kwa number sio ubora na uzuri wa gari? Unajua kuna gari zimeingia nchini under exemption zaidi ya miaka 15 lakini now ukienda kufanyia malipo na usajili unachukua namba mpya ambayo ndiyo IPO kwenye rotation?
 
na anajua kuna namba DA iliingia bongo na 0 km?
 
Onyo kwa wanunuzi wa magari..usinunue gari yoyote yenye usajiri wa C hadi DE usinunue zaidi ya 3m tofauti na hapo utakua umepigwa..samahani kwa wauzaji..ila ndio ukweli huo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina gx110 B na siuzi chini 5M na hapo mtu aje anishawishi saana maana haipo sokoni
Gari inategemea na matunzo
 
Back
Top Bottom