Hapana mkuu, gari imesimama Sana na siuzi sababu na shida nataka Tu kubadilisha
Naomba gari zinazouzwa hii bei hapa zenye namba D nitanunua 2Onyo kwa wanunuzi wa magari..usinunue gari yoyote yenye usajiri wa C hadi DE usinunue zaidi ya 3m tofauti na hapo utakua umepigwa..samahani kwa wauzaji..ila ndio ukweli huo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari yoyote?Onyo kwa wanunuzi wa magari..usinunue gari yoyote yenye usajiri wa C hadi DE usinunue zaidi ya 3m tofauti na hapo utakua umepigwa..samahani kwa wauzaji..ila ndio ukweli huo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui magari huyu, anaandika Tu vits yenyene number C iliyosimama ni 4,000,0000Gari yoyote?
prado diamond?
subaru forester
harrier
bmw
vw
kluger
crown?
hauwezi kuwa serios
Hasa babby Walkers..ila hata hizo zingine kuweni makini sana..ingine zimechoka..gereji utawajua majina hadi mafundi walioacha kazi miaka mingi.Gari yoyote?
prado diamond?
subaru forester
harrier
bmw
vw
kluger
crown?
hauwezi kuwa serios
Siudhi ila natoa tahadhali tu..mana nmeshajionea.Naomba gari zinazouzwa hii bei hapa zenye namba D nitanunua 2
Hakuna mtu anayenunua gari bila kukagua na kuielewa mkuuu, hivi unajua kuna gari number C ipo Bora kuliko number D au wewe huwa unanunua gari Kwa number sio ubora na uzuri wa gari? Unajua kuna gari zimeingia nchini under exemption zaidi ya miaka 15 lakini now ukienda kufanyia malipo na usajili unachukua namba mpya ambayo ndiyo IPO kwenye rotation?Hasa babby Walkers..ila hata hizo zingine kuweni makini sana..ingine zimechoka..gereji utawajua majina hadi mafundi walioacha kazi miaka mingi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
poleunadanganywa na namba utachapwa vibaya sanaHasa babby Walkers..ila hata hizo zingine kuweni makini sana..ingine zimechoka..gereji utawajua majina hadi mafundi walioacha kazi miaka mingi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
jf na vibwanga vyakeHajui magari huyu, anaandika Tu vits yenyene number C iliyosimama ni 4,000,0000
na anajua kuna namba DA iliingia bongo na 0 km?Hakuna mtu anayenunua gari bila kukagua na kuielewa mkuuu, hivi unajua kuna gari number C ipo Bora kuliko number D au wewe huwa unanunua gari Kwa number sio ubora na uzuri wa gari? Unajua kuna gari zimeingia nchini under exemption zaidi ya miaka 15 lakini now ukienda kufanyia malipo na usajili unachukua namba mpya ambayo ndiyo IPO kwenye rotation?
Nina gx110 B na siuzi chini 5M na hapo mtu aje anishawishi saana maana haipo sokoniOnyo kwa wanunuzi wa magari..usinunue gari yoyote yenye usajiri wa C hadi DE usinunue zaidi ya 3m tofauti na hapo utakua umepigwa..samahani kwa wauzaji..ila ndio ukweli huo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahHasa babby Walkers..ila hata hizo zingine kuweni makini sana..ingine zimechoka..gereji utawajua majina hadi mafundi walioacha kazi miaka mingi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app