Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Wala usivunje kibubu, vibopa wa JF tupo hapa (naandika nikiwa nimeshika bomba la DCM la mbagala ila kinadharia ya JF namiliki rolls royce 6)Ngoja nivunje kibubu mkuu
🤓weee,sema kweli? 😜Wala usivunje kibubu, vibopa wa JF tupo hapa.
Tuma account namba nikuingizie yote mrembo😜
JF hakuna fukara. Mil. 6 si hela ya kutumia usiku mmoja tu kidimbwi. (hata sijui huko kidimbwi unafikaje🤣)🤓weee,sema kweli? 😜
Umeharibu 🙄JF hakuna fukara.
Ulitaka iuzwe bei ganiSema bongo gar inaonekana kama ni anasa yaaani vitz ni ya kuuzwa kwa milion 6 kweli !?
Kinadharia mama. Uhalisia sasa ndio majonzi🤣Umeharibu 🙄
Halafu kuna mwamba alinadi upendo kwako, una nusu ya moyo wake. Mwambie aukomboe sasa kwa kukutunuku ki vits hicho. Aache kujifanya mkorea kuandika insha za mapenzi.Ngoja nivunje kibubu mkuu
Million 3.5 iyo bei ya mwanzo maelewano yapo 🤣Ulitaka iuzwe bei gani
Yule bado anajitafuta afu usiamini sana mambo ya mitandao mkuu....wastage of timeHalafu kuna mwamba alinadi upendo kwako, una nusu ya moyo wake. Mwambie aukomboe sasa kwa kukutunuku ki vits hicho. Aache kujifanya mkorea kuandika insha za mapenzi.
karibuNgoja nivunje kibubu mkuu
yapImepakwa rangi mkono mmoja?
Sawa mkuu, hata za chini yapo nadhani zipoMillion 3.5 iyo bei ya mwanzo maelewano yapo [emoji1787]
Panda kidogo wlau ufike kwenye Tano aiseeeKula 4m tumalize