Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
Hii ni piston 4 kaka, inapanda kama kawaida, inanguvu sana njoo ukague ujionee kwa machoAsamte chief.
Vipi mlima wa Bugando inapanda?
Kweli kaka, uko sahihi hizi za piston 4 ni gari nzuri sana, na pia kwenye utumiaji wa mafuta utasahau kabisa1290 CC ni nzuri yangu ilikuwa 990 ilizingua heat nikachonga head na kuweka paper gasket jamaa wakanifuta wanaita nikawapiga NAyo fasta hapo Nyamagana ground ni gari nzuri sana
Hapana kaka, mwisho 6.5MMkuu nina 5M, Kama unaweza kupokea niambie nikutafute