mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
toyota vitz iko poa kama inavyoonekana kwenye picha ...
imetunzwa vizuri sana,seat cover,full ac,tyre ziko poa View attachment 1182721View attachment 1182722View attachment 1182723View attachment 1182724
3.5 boss vp?
4.2 kaka,nikupemkuu hailipi hio..we si unakiona chombo kilivyosimama
Kweli kabisa mkuuSema vizuri biashara za magari sio rangi; mileage, model and year of manufacturing, fuel consumptions etc.
okay mkuu nmekupata..Sema vizuri biashara za magari sio rangi; mileage, model and year of manufacturing, fuel consumptions etc.
haijawai kupata ajali wala kupigwa rangi ..imetunzwa sana mkuuHistory of Accidents pia
mkuu haina maslahi hio ..nichek kwenye no yangu tuongee vizuri4.2 kaka,nikupe
hakika huyu ni mnunuzi. jisogeze karibu nayemkuu haina maslahi hio ..nichek kwenye no yangu tuongee vizuri
Hata mm nimeshangaa aisee.hakika huyu ni mnunuzi. jisogeze karibu naye
mkuu no sio tija siku hizi...unaangalia condition ya gari husika..unaweza kununua gari no D ukakuta wameshafungua engine ..Hata mm nimeshangaa aisee.
Kwa vitz namba C hiyo bei ni kubwa sana.
Yaani ukiongeza Kama laki 10 hivi unapata Nissan xtrail
Hiyo ndo vitz iliyotunzwa?mkuu hailipi hio..we si unakiona chombo kilivyosimama
Dalali kaweka cha juu ndo maanaHata mm nimeshangaa aisee.
Kwa vitz namba C hiyo bei ni kubwa sana.
Yaani ukiongeza Kama laki 10 hivi unapata Nissan xtrail
Mkuu gari ikishatumika hivyo unavyoongelea hubaki tu Kama assumptions tu na havina guarantee.mkuu no sio tija siku hizi...unaangalia condition ya gari husika..unaweza kununua gari no D ukakuta wameshafungua engine ..
Vitz ni economical kuliko xtrail unayoizungumzia..hali yenyewe si unaiona hii ya mzee baba
kweli ndo maana nimemwambia nimpe 4.2m yan hapo siongez ata 100,nilinunua allex namba d kwa 6.5,sema niliiua kwenye ajari tuMkuu gari ikishatumika hivyo unavyoongelea hubaki tu Kama assumptions tu na havina guarantee.
Yes hizo ndio Bei reasonable aisee.kweli ndo maana nimemwambia nimpe 4.2m yan hapo siongez ata 100,nilinunua allex namba d kwa 6.5,sema niliiua kwenye ajari tu