Car4Sale Toyota Vitz ya mwaka 2000 inauzwa

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
Gari iko vizuri, haina shida yoyote.

Inauzwa 4,300,000

Ina Cc 997,
Imetembea Km 150,000
Haijapata ajali
Options zote zinafanya kazi
Engine ya VVTi na haijafunguliwa
Gia box iko vizuri,
Body pia iko vizuri.

Gari iko Kigamboni, piga namba 0754455865
 
Huyu jamaa mwenye gari aliiweka kwenye jumba la makumhusho?
 
Gari imeendeshwa na Mama wa Kihindi tangu ilipoingia nchini, na ilikua ikitoka Magomeni kwenda Kariakoo tu. Alizingatia service, Mi nimeinunua kwake mwezi mmoja uliopita
 
Gari imeendeshwa na Mama wa Kihindi tangu ilipoingia nchini, na ilikua ikitoka Magomeni kwenda Kariakoo tu. Alizingatia service, Mi nimeinunua kwake mwezi mmoja uliopita

Kwenye Biashara ya gari nikisikia neno...dada, mama, mwanamke basi nami huongeza jicho la tatu. ila gari mwonekano wake ni mzuri tu, Kama service zote ilipata je documents (BL) toka ilipoingizwa inchini pamoja na kadi yake ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…