Car4Sale Toyota Voltz in mint condition for Sale

 
Yaani gari imetembea over 100000km then 14ml..serious???

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe utakuwa mpenzi wa gari ndogo ndogo hizi, kwa gari ndogo kama vitz, ist,allex, kilometa 80,000 ni kubwa sana. Kwa gari kubwa kama volti km 100,000 ni ndogo sana, katizame website zinazouza magari utaona. Volti ina kilometa 200,000 na bado inauzwa bei juu. Kwa kifupi kupata gari kubwa chini ya km laki ni ngumu (japo zipo kibwena tu) na itakuwa bei kubwa.
Braza wangu alichukua forester ya 2008 yny km 180,000 nilimshangaa sana, ila nilivotembelea site za magari nikakuta almost foresta zote ni over 200,000.
 
Mafundi nao matapeli tu anakula dili na muuzaji halafu baadae anarudi kuchukua chake. Wewe unaachiwa kimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…