Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello wanandugu zangu ,Kwa wale ambao wanataka kununua Gari aina ya Toyota Voxy wawe wanajua hili Jambo ,Ni ngumu sana kuja kuiuzaa ,Yaani mafundi wanaikandia sana sana wanasema eti inaharibika engine ,Nilikuwa nayo ilinisumbua kuuza karibia miezi 7 sasa ndio jnimefanikiwa kuiuzaa ,halafu wanakupa bei za ajabu sana ,.Please kabla ya kununua uangalie kama utakuja kukaa nayo mpaka ikufie hapo sawa Lakin kama unataka kuja kuiuzaa ufikirie mara mbili .
ASANTENI sana Taifa la mungu ,
ASANTENI sana Taifa la mungu ,