Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Duh asubirie wakati wa kuliuza aone moto wake mkuu ,akiliuza akipata milioni 5 ana bahati mkuu .Duh rafiki yangu kalinunua hivi karibuni bado jipyaa ananiringishia kinoma kila nikimwambia gari hiyo inasemekana ni kimeo ananihakikishia kua gari ni service tuu basi nafarijika sana akiniambia gari ni service tuu mana huniambia kwa konfidensi.