Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafanya haters wajinyonge .kampuni ya toyota wamezindua bonge la assembly plant hiyo jana huku mombasa....brands kama hilux na fortuner zitaanza huku zingine zikianza mwakani eg probox...hongera mzee kenyatta, kazi yako tunaionaa 🤣 🤣 👏
View attachment 1237815View attachment 1237816View attachment 1237817View attachment 1237818
kampuni ya toyota wamezindua bonge la assembly plant hiyo jana huku mombasa....brands kama hilux na fortuner zitaanza huku zingine zikianza mwakani eg probox...hongera mzee kenyatta, kazi yako tunaionaa [emoji1787] [emoji1787] [emoji122]
View attachment 1237815View attachment 1237816View attachment 1237817View attachment 1237818
Rwanda wakifungua kiwanda cha kuunganisha baskeli dunia inachafuka..
Sasa suburi Tanzania ipate kakiwanda hata ka kichemsha uji.. Watazunguka nchi nzima kujimwambafai...
Kiwanda kikishakuwa nchini mwako ni fursa kwa wananchi na uchumi wa nchi. Serikali hazijengi viwanda, kazi yake ni kuweka mazingira rafiki ili wadau waweke hivyo viwanda. Sisi hapa maneno na misifa ndo imejaa kuliko mikakati.Hivi umeelewa mada ni nini hapa!!!?
Ni kwamba Toyota wamefungua tawi la kuunganisha magari Mombasa. Wala si mali au kiwanda cha GoK.
Ni kama vile Tanzania ilivyokuwa na kiwanda cha kuunganisha magari ya Scania cha TAMCO Kibaha. Labda nyie ni vijana wa juzi hamuelewi hili.
Kiwanda kikishakuwa nchini mwako ni fursa kwa wananchi na uchumi wa nchi. Serikali hazijengi viwanda, kazi yake ni kuweka mazingira rafiki ili wadau waweke hivyo viwanda. Sisi hapa maneno na misifa ndo imejaa kuliko mikakati.
Thats the spirit of East Africa Community...This new plant definitely will also employ people from the EAC, there will be backward and forward linkages...i mean suppliers from Tz or Uganda will also benefit in one way. Kudos to brotherhood of sister states of EACBravo Toyota for having a new subsidiary in the bloc.
Kiwanda kikishakuwa nchini mwako ni fursa kwa wananchi na uchumi wa nchi. Serikali hazijengi viwanda, kazi yake ni kuweka mazingira rafiki ili wadau waweke hivyo viwanda. Sisi hapa maneno na misifa ndo imejaa kuliko mikakati.
Wewe unajichanganya alafu unaanza povu, kwani mtoa mada kasema kiwanda ni cha GoK. Soma heading ya thread alafu soma vizuri ulichoandika.Kwani mi hapo nimesemaje!!!?
Kuna sehemu nimesema serikali ya Kenya ndiyo imejenga kiwanda?
Uwe unatafakari kabla ya kuandika.