Toyota wafungua kiwanda kikubwa Mombasa!

Wewe unajichanganya alafu unaanza povu, kwani mtoa mada kasema kiwanda ni cha GoK. Soma heading ya thread alafu soma vizuri ulichoandika.

Usirukie hoja, kwani wewe umepitia na kujua kwa nini nilijimjibu hivyo!!?
 
Hujanielewa..

Nimesema kwa lugha rahisi mambo kama haya kenya ni ya kawaida na wala hayapewi proko kivile.


Imagine hili lingetokea Tanzania... Tungekua na wiki la matusi kwa wapinzani.

 
Kenyata ni bonge la Rais kuwahi kutokea East africa.
 
Tuliwaambia Mombasa na Dar zitapumuliana kwenye hiyo Pwani hadi pafuke moshi, nahisi ndio maana mkulu ameikimbia Dar na kuhamia Dodoma.
 
Sasa hii shetani inajaribu kuconvince watu ati kufungua assembly plant ya magari ni kitu kibaya sana kwa uchumi. Hara ulale wacha kutusumbua.
 
Hongera Sana Kenya
Siku Zote Mipango Mizuri Ni Ile Inayoonekana Ikitekelezwa Hadharani. Mipango Ya Maneno Na Ile Ya Kwenye Makaratasi Hiyo Siyo Mipango
 
Warehouse siyo kiwanda.unajuwa maana ya kiwanda wewe?
 
These are the fruits of creating a good business environment, private investment comes in.Toyota has invested Shs1 billion in the new assembly line, already 400 people have been employed in this new line with the industry total being 12,000 people. Toyota is looking to scale up its investments in Kenya from assembling vehicles to tier one component manufacturing and the eventual establishment of a fully integrated vehicle manufacturing plant.
They are also currently putting up 42 car care and tyre centres across Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…