Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 413
Aise sio mchezoSawa na chuma 16 kila saa 1.
Toyota wana Plants Nchi zaidi ya 16. Huo uzalishaji rahisi sana kutokana na wingi wa Plant zao MkuuKichwa cha uzi cha husika
Nimesoma sehemu kuwa kampuni ya Toyota wanatengeneza zaidi ya magari 9.2M kwa mwaka na wana viwanda 67 vya utengenezaji duniani kote,, nikapiga hesabu kama ifuatavyo;
Kwa mwaka magari 9.2M
9.2M ÷ (Miezi 12) =766,667 kwa mwezi
766,667÷(siku 30) = 25,556 kwa siku
25,556 ÷ (Viwanda 67) = 381 kwa kiwanda
Maana yake kiwanda kimoja kinatengeneza zaidi ya magari 381 kwa saa 24,, hii inawezekanaje?
Ni kweli kwamba wanatumia robots n.k lakini hii idadi imenishangaza
Huenda kuna kitu sijakielewa,, karibu tupeane ufafanuzi
Wako vizuri aiseToyota wana Plants Nchi zaidi ya 16. Huo uzalishaji rahisi sana kutokana na wingi wa Plant zao Mkuu
sawa na Gari 1 kila baada ya sekunde 9.45Sawa na chuma 16 kila saa 1.
NAKAZIAToyota wana Plants Nchi zaidi ya 16. Huo uzalishaji rahisi sana kutokana na wingi wa Plant zao Mkuu
This is amazingsawa na Gari 1 kila baada ya sekunde 9.45
Sawa na nati 30 kila dakikaSawa na chuma 16 kila saa 1.
[emoji2]Sawa na nati 30 kila dakika
Ina Miaka 70 Sasa HiviTOYOTA ni kampuni yenye miaka zaidi ya 100 kwenye biashara.
Wameshakuwa wazoefu sana na sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaahkiwanda cha maji tu bongo hakifikishi hizi chupa