Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise.
Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV.
Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor na battery la 61 kWh.
Wakati ndogo ni FWD, single motor inakupa power ya 142 hp na iko na battery la 49 kWh.
Kwa ndani ina screen mbili, ya dereva inch 10 na ya katikati inch 10 pia.
Kuna spika za JBL, Sunroof na ADAS za aina mbali mbali kutegemea na utakayiichagua.
Mzigo upo sokoni kuanzia mwakani 2025.