Toyota wazindua IST ya umeme: Urban Cruise EV

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise.

Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV.

Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor na battery la 61 kWh.

Wakati ndogo ni FWD, single motor inakupa power ya 142 hp na iko na battery la 49 kWh.

Kwa ndani ina screen mbili, ya dereva inch 10 na ya katikati inch 10 pia.

Kuna spika za JBL, Sunroof na ADAS za aina mbali mbali kutegemea na utakayiichagua.

Mzigo upo sokoni kuanzia mwakani 2025.
 
Zikija huku mafundi michael watataka kunjunga zitumie petrol, mwisho wa siku kuzilipua.

Ila najua mpaka kuja huku itakuwa 2045 na kipindi hicho tutasema ni new model ambayo itakuwa ni model ya 2025.
Unakuta yenyewe new inauzwa $35k ikitumika mwaka mmoja utakuta $15k tatizo ushuru sasa.
 
Hizi zitaanza kuingia bongo kwa wingi 2040!
 
Unazungumzia gari za battery wakati hata charging station hakuna, hizo gas station tu kizungumkuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…