Used poa tu. mpya itakuwa bei imesimama balaa.Used au mpya? Maana watataja bei hapa tutakumbiana.
Faida kwa watumiaji. Hapa after 5 years mambo yatakua soft.Toyota ni wajanja wameangalia Soko la RAV 4 Kwanza kwasababu hiyo gari inafanya vizuri Sana marekani na ulaya Kwa matoleo yake yote Toka generation ya Kwanza.
Acha tusubiri tuone ushindani wa Japan,china na marekani kwenye ulimwengu wa EV's
nimeona kwenye page ya Dr mechanic YouTube akinadi sedan na crossover SUV za kichina, naona mdogomdogo hizi gari za kichina zinaanza kuingia bongo ni kama vile mabus ya kichina yalivyoanza Hadi kukamata kabisaa sokoFaida kwa watumiaji. Hapa after 5 years mambo yatakua soft.
Now bei zimeanza kupoa.Maana 5th gen tu zipo za SU na STN
Wao wanaangalia origin ya ilo gari. Yaani BMW mfano ata kama imetengenezwa Japan au SA ukaimport, wao wanasema Germany.Magari ya mafuta tu Bongo ya kutafuta kwa haya matoleo mapya wakati wenzetu wanatoka huko sisi bado tupo kwenye diesel na petrol ila kwa mfumo wa TRA gari ya SA inalipiwa kodi kama imetoka Ulaya kazi tunayo kubwa sana..
Zipo gari huko wanakoanza kutengeneza washasitisha ila Afrika bado zinatengenezwa sema IT bongo ina utata sana unakuta hata kipengele cha ukubwa wa Engine cc ni utata mtupu ni kama wanabahatisha tu.Wao wanaangalia origin ya ilo gari. Yaani BMW mfano ata kama imetengenezwa Japan au SA ukaimport, wao wanasema Germany.
Ukisema hivyo roho inaniuma sana nikona bandari na ngorongoro ilivyokabidhiwa kwa waarabuHuu mfumo wa kila gari kuanza maswala ya kutumia umeme na sio mafuta ndo maana waarabu wanapambana sana kupata vyazo vipya vya mapato.
Wana kuja wanatuchekea kidogo(kushawishiwa), na sisi hatuna dogo tunakabidhi bandari, mwendo kasi, misitu , mbuga za wanyama wazi run .
Wenzetu wanaudhubutu wakujifikiria walipo na ya mbele na kuyafanyia kazi wakijua nini kijacho.
Sisi sio kwamba hatuoni ila Nani sasa anauchungu wa vizazi vijavyo.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa models zitakazouzwa kwenye region yetu zikawa na option ya engine ya kawaida bila umeme.Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance.
View attachment 3340691
Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV) tu, hakutakua na full ICE.
View attachment 3340693
Hybrids zitakuja na engine ya 2.5L pamoja na battery la 1.6 kWh, transmission ya eCVT na zinatoa 220 hp hadi 320 hp.
View attachment 3340694
Taarifa zaidi za full BEV hazijatolewa, ila hybrid inaweza kwenda hadi 150 km kwa EV mode tu, na inaweza kuchajiwa kutoka 0-80% kwa dakika 30 tu.
Pia Toyota wameongelea kuhusu V2H (Vehicle to Home) power supply ambapo ikitokea umeme umekatika unaweza kutumia gari supply umeme.
Hii ni generation ya 6 kutokea Rav 4 zilivyoanza kuuzwa mwaka 1994, na imekua moja ya best selling SUV duniani.
View attachment 3340692
Kuhusu packages zitakuepo za aina tatu, Base model (Core), Adventure na Sports (GR Sport) package.
BTW, kirefu cha RAV 4 ni Robust Accurate Vehicle with 4 Wheel Drive.
Life is an Adventure
Recreational Active Vehicle (RAV) au mimi ndiyo sielewi?Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance.