Mjomba, jitahidi ubadilishe simu au namna ya kupiga picha zako. Na hii ni kwa manufaa ya biashara yako.
Labda wanataka ulipie tangazo!Shida sio simu wala jinsi navyopiga picha nadhani itakuwa jamii forums maana hizi hizi picha napost facebook,instagram,tiktok na threads ilazipo vizuri tu ila nikipost humu ndoshida inapo anzia