DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 496
Habari wanajamvi.
Naomba kuuliza ni aina gani ya engine oil specific kwa gari hili, Namaanisha ndio engine oil yake recommended kwa gari hili ;
Toyota Wish
Ya 2006,
CC ni 1790, Engine VVTI
Lengo la kuuliza ni kuwa muda wa kufanya service umefika lakini nataka niweke engine oil yake maalum na iliyokuwa recommended kwa aina hiyo ya gari.
Naomba kujuzwa wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app