MkuuHabari wanajamvi.
Naomba kuuliza ni aina gani ya engine oil specific kwa gari hili, Namaanisha ndio engine oil yake recommended kwa gari hili ;
Toyota Wish
Ya 2006,
CC ni 1790, Engine VVTI
Lengo la kuuliza ni kuwa muda wa kufanya service umefika lakini nataka niweke engine oil yake maalum na iliyokuwa recommended kwa aina hiyo ya gari.
Naomba kujuzwa wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Well notedMkuu
Mie nina Voltz ambazo Engine yake ndio kama ya Wish pamoja na Premio New model. Hiyo hiyo Cc 1794.
Binafsi natumia Engine Oil ya BP. Nimeisha fanya service mara 3 toka kununua gari. Na natumia baada ya 3000kms.
Pia Hydraulic nzuri kabisa ninayotumia ni ile ya T4. Ina gharama sana lakini ndio bora. Hii unatumia hadi 12000km ndio unamwaga.
Tusubiri watalaamu wengine waje zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app